Mara moja
Ufungaji Hulipwa mara moja wakati wa go-live
TZS 1,000,000
Kila mwezi
Kwa mwanafunzi Wanafunzi walioandikishwa hai
TZS 500
Kila mwezi

Usajili kwa Mwanafunzi

Hutoztwa kila mwezi kulingana na wanafunzi hai.

TZS 500
kwa mwanafunzi / mwezi
Kinachojumuishwa
  • Huduma za arifa za SMS: Matokeo, mahudhurio, vikumbusho vya ada na matangazo
  • Msaada endelevu kwa watumiaji: Helpdesk kwa Admin, Walimu, Wazazi na Staff
  • Updates na usalama wa jukwaa: Uboreshaji endelevu, patches na ufuatiliaji
  • Ufikiaji wa portal ya wazazi: Ada, matokeo, mahudhurio na ruhusa mtandaoni
  • Uptime na backup: Hosting ya kuaminika na ulinzi wa kawaida wa data
  • Uboreshaji wa vipengele: Moduli mpya na UX kadri ShuleXpert inavyokua

Mifano ya gharama

Mfano wa gharama ya kila mwezi

Fomula: Wanafunzi hai × TZS 500. Ufungaji (TZS 1,000,000) hulipwa mara moja tu.

200 wanafunzi TZS 100,000 / mwezi
500 wanafunzi TZS 250,000 / mwezi
1,000 wanafunzi TZS 500,000 / mwezi

Maswali ya bei

Je, ufungaji hulipwa kila mwaka?

Hapana. Ada ya ufungaji ya TZS 1,000,000 hulipwa mara moja shule yako inapoanza.

Ada ya kila mwezi inahesabiwaje?

Wanafunzi walioandikishwa hai × TZS 500. Wanafunzi wasio hai au waliohitimu hawalipishwi.

Je, tunaweza kupata bei maalum?

Ndiyo. Wasiliana na EmCa Techonology kwa ukubwa wa shule, vifaa vya biometric au multi-campus.

Majibu zaidi kwenye FAQ

Start with TZS 1,000,000 installation